Recent Posts

POGBA MLANGONI KWENDA CHELSEA, YUKO LONDON AKILA BATA

MCHEZAJI nyota wa Juventus ya Italy Paul Pogba ameonekana Magharibi mwa London jana, na kusimama kupiga picha na mashabiki mjini Knightsbridge, huku kukiwa na tetesi kuwa yuko huko ili kukamilisha usajiri na Chelsea.

Chelsea wanaongoza mbio za kumsajiri Pogba kwa na tayari walishaweka mezani dau la paun million 60 ili kumnasa nyota huyo raia wa Ufaransa.

Pogba alikuwa mmoja wa nyota waliong'ara katika Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2014 zinazoendelea nchini Brazil huku akihusishwa na taarifa za kuondoka Juventus na Chelsea ndio inapewa nafasi kubwa ya kumnasa kiungo huyo wa kati.

 i
POGBA MLANGONI KWENDA CHELSEA, YUKO LONDON AKILA BATA POGBA MLANGONI KWENDA CHELSEA, YUKO LONDON AKILA BATA Reviewed by Unknown on 08:34 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.