Recent Posts

LIONELL MESSI MSHINDI WA BALLON D'OR MARA YA TANO

Siku ya jana shirikisho la soka ulimwenguni FIFA liliweza kutangaza washindi wa tuzo kubwa ikiwa ni pamoja na tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa ikiwa inawaniwa na Lionel MessiNeymar na Cristiano Ronaldo
Usiku wa jana FIFA wali mtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na mchezaji wa klabu ya FC Barcelona kutoka Hispania Lionel Messi kuwa ndio mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ikiwa ni mara ya tano kwake kuchukua Tuzo hiyo.
sa
HII HAPA OODHA YA WASHINDI WENGINE WA TUZO ZA FIFA 2015
  • Golikipa: Manuel Neuer,
    MabekiThiago SilvaMarceloSergio RamosDani Alves
    ViungoAndres IniestaLuka ModricPaul Pogba,
    Washambuliaji: NeymarLionel MessiCristiano Ronaldo.
  • KIKOSI BORA CHA MWAKA.
zuri
  • Tuzo ya Kocha bora wa mwaka ilchukuliwa na Luis Enrique wa FC Barcelona.
  • Tuzo bora ya goli la mwaka alichukua  Wendell Lira wa  klabu ya Atletico Goianiense
  • Tuzo ya Mchezaji bora wa mwaka wa kike alichukua Carli Lloyd kwa mara ya kwanza kutoka USA.2754909_full-lnd
LIONELL MESSI MSHINDI WA BALLON D'OR MARA YA TANO LIONELL MESSI MSHINDI WA BALLON D'OR MARA YA TANO Reviewed by Unknown on 02:22 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.