Tazama picha Kim Kardashian Kwenye Pozi Za Utupu Kwenye Jarida La GQ ambapo pia Ametajwa Kuwa Mwanamke Wa Mwaka.
Jarida la GQ Limetoa picha za super model Kim Kardashian zitakazo
wekwa kwenye toleo jipya la jarida hilo ambalo Kim ametajwa kuwa mwanamke wa mwaka.
Kim ambaye ni mke wa rapper Kanye West amepozi bila nguo huku akificha baadhi ya sehemu kwenye mwili wake ambapo kwa kutazama picha hizi utapata jawabu tu la kuwa zina shawishi ngono ingawa Kim Kardashian ni Mke na Mama wa Mtoto mmoja.
Kim ambaye ni mke wa rapper Kanye West amepozi bila nguo huku akificha baadhi ya sehemu kwenye mwili wake ambapo kwa kutazama picha hizi utapata jawabu tu la kuwa zina shawishi ngono ingawa Kim Kardashian ni Mke na Mama wa Mtoto mmoja.
Tazama picha Kim Kardashian Kwenye Pozi Za Utupu Kwenye Jarida La GQ ambapo pia Ametajwa Kuwa Mwanamke Wa Mwaka.
Reviewed by Unknown
on
01:24
Rating:
No comments: