Katika matukio ya kushangaza Duniani ni pamoja na matukio tofauti na ya kipekee ambayo watu wamejaaliwa nayo toka kwa Mwenyezi Mungu na hii huwa katika matendo ama maumbile kama hili.
Mtu mrefu zaidi Duniani anaitwa Sultan Kösen kutoka
uturuki ana urefu wa futi 8, huku mtu mfupi zaidi Duniani
aitwaye Chandra Dangi kutoka Nepal ana urefu wa
inchi 21.5.
Watu hawa wawili ambao wanashilikilia rekodi ya mtu
mrefu zaidi duniani na mtu mfupi zaidi duniani
wamekutana kwa mara ya kwanza kwenye
maadhimisho ya ‘Guinness World Record Day’ huko
London, Uingereza Nov.13.
MCHEKI MTU MREFU ZAIDI, NA MFUPI ZAIDI WALIOVUNJA REKODI YA DUNIA.
Reviewed by Unknown
on
23:43
Rating:
No comments: