Recent Posts

DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO TATU CHOAMVA14, UTABIRI WA A.Y WATIMIA NA KUPITILIZA

Habari kutoka Africa Kusini ni kuwa
Msanii wetu KutokaTanzania Nasib Abdul
Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda Tuzo
Tatu katika tuzo za Chanel O Music Video Awards
Ikiwemo ya Msanii Chipukizi katika Tuzo za Muziki
Za Channel O zinazofanyika huko Afrika Kusini
ambapo hapo awali kupitia mitandao ya kijamii msanii
Ambwene Yessaya AY aliweza kumtabiria mema
kuwa anaweza rudi na tuzo mbili.

Diamond alikuwa ametajwa kwenye vipengele vinne
ambapo Vipengele hivyo ni pamoja na
Most_Gifted_East_Video ,
Most_Gifted_Afro_Pop_Video na
Most_Gifted_Newcomer .

FAHAMU Kwenye tuzo hizo Diamond amefanikiwa
kuwapiku
wasanii wakubwa wa hapa barani Afrika wakiwemo
Iyanya, Davido,
Flavour, Mafikizolo na Sauti Sol.
Ushindi huo umepokelewa kwa furaha kubwa na
Watanzania wakiwemo wasanii wenzake.

Lakini pasipo kishingo upande wasanii hao baadhi
wameweza kuonyesha upendo na ushirikiano wa
kweli akiwemo pia Davido wa Nigeria ambaye
ameandika hivi:
“TANZANIA STAND UP! HE DID IT!
@diamondplatnumz,” ameandika Davido.

Waje wa Nigeria na yeye: “@diamondplatnumz wow
congrats bro 3rd award
already!! # cocobaby,”.

Naye Jokate Mwegelo aliyewahi kuwa mpenzi
wake ameandika hivi:
“Tanzania kwanza. Hongera sana
@diamondplatnumz ….. Una vitu vyako vingi vya
sijui project hiki an kile lakini kwenye ukweli
naongea na siku zote mimi nakubali wewe una 1.
Jitihada 2. Vision/Muono wa mbali 3. Kipaji ….. From
Tandale to the World. You are a true inspiration.
Watoto wengi sasa hivi wataamini wanaweza
kufanikiwa kwasababu ya njia ulioweza kuionyesha
wewe kwenye kazi zako. Keep on shining bruh.
Tanzania tuko nyuma yako wewe na nyuma ya wale
wote wenye vipaji na jitihada. It’s time Tanzania
tukatoa vipaji zaidi na zaidi tukaweka team za
ushabiki ambazo hazijengi pembeni na kujenga
umoja utakaotuwezesha ku-take over Afrika na
dunia nzima. Tanzania tunaweza. Haya usiku
mwema. ”

Fahamu kuwa Hitmaker wa Doc Shebeleza, Casper
Nyovest naye
amenyakua tuzo tatu, Most Gifted South Video, Most
Gifted Male Video Doc na tuzo kubwa ya usiku huo,
Most Gifted Video of the Year.

Hii ni orodha nzima ya washindi:

Most Gifted Video of the Year.

Doc Shebeleza – Casper Nyovest
Most Gifted Male Video
Doc Shebeleza – Casper Nyovest
Most Gifted Female Video
Eminado – Tiwa Savage
Most Gifted Afro Pop Video
Number One – Diamond Platnumz
Most Gifted South Video
Doc Shebeleza – Casper Nyovest
Most Gifted East Video
Diamond.

Most Gifted West Video.

‘Turn Up’ – Olamide
Most Gifted duo/group/featuring
Pull Over – KCEE f/ Wizkid
Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor

Most Gifted RnB Video

‘Crazy But Amazing’ – Donald

Most Gifted Hip hop Video

Congratulate – AKA
Most Gifted Dance Video
Ngoku – Busiswa
Most Gifted Newcomer-Diamond Platnumz
Most Gifted Ragga Dancehall-Buffalo Souljah

Credits @Bongo5

DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO TATU CHOAMVA14, UTABIRI WA A.Y WATIMIA NA KUPITILIZA DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO TATU
CHOAMVA14, UTABIRI WA A.Y WATIMIA NA KUPITILIZA Reviewed by Unknown on 13:44 Rating: 5

1 comment:

Powered by Blogger.