Recent Posts

TUPOGO REMIX BY OMMY DIMPOZ URAIANI NA LAKI TANO NJE NJE!

Wakati unachukua dakika zako 4:26 kuitazama video hii ya Ommy
Dimpoz iliyo chukua takribani vipande vyote kwenye
treni ya Mwakyembe.

Fahamu kuwa Kuanzia jumatatu ijayo kupitia mitandao ya jamii katika account zake
za facebook titwer na
instagram @ommydimpoz mkali huyo wa track ya Ndagusha atakua anaendesha
shindano la kucheza wimbo huo,wa Tupogo shindano
alilolipa jina "Lima na Tupogo" ambalo litakwenda kwa wiko 4 na kila
mwisho wa wiki mshindi atazawadiwa kiasi cha
laki 5 kutoka kwa Ommy
dimpoz.

Shindano hilo la Lima na tupogo ni moja kati ya vionjo kwenye nyimbo hiyo ya
Tupogo, ambapo Dimpoz mwenyewe ameseka kuwa kwa sasa kutokana na kuwa na fans wengi ndio sababu ya kuanzisha shindano hilo.

"Kwasababu mafans wetu
wanatuweka hapa na wanatufanya tuwe hapa na
wanatupa nguvu ya kufanya kazi zaidi kwahiyo
nimeona hii wakati nimetoa hii video ya tupogo, na
kama kuwataka radhi hizi kwasababu uanajua
tupogo ni video ambayo ingetakiwa kutoka muda
mrefu ndio maana nikaamua nifanye remix na
niitolee video, ambayo itakuwa ni kama bonus
track katika album yangu ambayo itatoka siku ya
Valentines..style ya Lima na Tupogo ni style ambayo nimewapa
nafasi mashabiki wa PKP kutumia nafasi hii
kulima lima lima lima, wanakuwa wanalima
halafu mshindi kwa kila wiki anaondoka na
laki tano na tutakuwa na wiki nne, na ili kushiriki kutakuwa na hashtag ya Lima na
Tupogo ambayo itakuwa inaweka clip
kwenye acc yangu ya instagram facebook na
twitter kwahiyo tutakuwa tunafanya kwa
kupitia social network kui-promote hiyo Lima
na Tupogo na wengine kama wataweza ku-
upload youtube" alisema Ommy Dimpoz.

Basi kama hujaiona video hiyo na ili ikuhamasishe kushiriki basi bonyeza mwenyewe!!.hiyo link hapo chini! Ujionee ==>>>

https://www.youtube.com/watch?v=QLbL-lpQ9bY&feature=youtube_gdata_player

TUPOGO REMIX BY OMMY DIMPOZ URAIANI NA LAKI TANO NJE NJE! TUPOGO REMIX BY OMMY DIMPOZ URAIANI NA LAKI TANO NJE NJE! Reviewed by Unknown on 00:30 Rating: 5

2 comments:

  1. Name me Niko!! Caz Maisha magumu!!.

    ReplyDelete
  2. Braza anahela sasa hivi!

    ReplyDelete

Powered by Blogger.