PICHA ZA AJALI YA MOTO MPAKANI MWA ZAMBIA NA CONGO ILIYO CHOMA MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO MPAKANI HAPO NA KUSABABISHA MAAFA!!.
Hizi ni baadhi ya picha za Ajali mbaya ya moto iliyotokea juzi majira ya
saa kumi na moja jioni maeneo ya
Kasumbalesa katika boda ya mpakani mwa Zambia na Kongo
baada ya lori moja kulipuka kwa moto na
kuchoma malori mengine yaliyokuwa jirani
yake ambapo inadaiwa magari mengi yameungua
yakiwemo kutoka Tanzania japo idadi kamili ya
maafa yaliyotokana na ajali hiyo bado
hayajafahamika.
Na hizi ni baadhi ya picha na majeruhi ambazo KAY-STALLION tumezipata:
PICHA ZA AJALI YA MOTO MPAKANI MWA ZAMBIA NA CONGO ILIYO CHOMA MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO MPAKANI HAPO NA KUSABABISHA MAAFA!!.
Reviewed by Unknown
on
02:18
Rating:
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi!.
ReplyDeleteDah hilo janga kubwa sanaa Mwenyezi Mungu awapumzishe salama
ReplyDeleteDah noma hiyo axeeh
ReplyDelete