Ndege ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Lufthansa chini ya nembo ya German wings Airs A320 imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa.
Ndege hiyo A320-211 D-AIPX (msn 147) ilikuwa imebeba abiria 142 na wahudumu 6 ikitokea Barcelona nchini Hispania kuelekea Duesseldorf ambapo chanzo cha kuanguka kwake ni kutokana na hali ya hewa kutokuwa sawa na kupoteza mawasiliano ya Radar Ambapo ilipoteza mwelekeo na kutokea kwenye milima hiyo ilipo anguka.
Taarifa zaidi zimeeleza kwamba namba kubwa ya majeruhi inaweza isiwepo bali vikawa in vifo tu kutokana hadi sasa hakuna mawasiliano kamili kati ya waokoaji na vyombo vya habari.
FAHAMU: iliyoanguka inamilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani la Lufthansa chini ya nembo ya German wings.
No comments: