Mvua iliyo nyesha siku ya Jana jumapili ya Machi 22 ilileta majanga makubwa hasa katika miundombiny ya bara bara na kusababisha baadhi ya vyombo hivyo kutumbukia kwenye mashimo yaliyo funikwa na maji lakini pia hata kwa wapita njia ilikuwa tabu sana kwani wengine walilazimika kubebwa na kuna baadhi ya maeneo walikuwa wakichaji watu kuvushwa kwa hela!.
PICHA: HAYA NDIO MAJANGA YA MVUA ILIYO NYESHA JANA KUTWA NZIMA
Reviewed by Unknown
on
01:27
Rating:
No comments: