Recent Posts

SPORTS: RATIBA YA MICHEZO YA ROBO FAINAL UEFA.

RATIBA YA MICHEZO YA ROBO FAINAL UEFA.

>>Baada ya MIchezo ya hatua ya 16 bora kupigwa katika ya wiki na kujulikana timu zitakazo shiriki
robo fainal, Shirikisho la Ulaya Uefa limepanga ratiba ya michezo hiyo.

Katika michezo hiyo Real Madrid imepangwa na Wapinzani wake Atletico Madrid wakati PSG
imepangwa na FC Barcelona.

Kwa upande wao Juventus wamepangiwa na AC Monaco wakati Bayer Munich watapambana na FC Porto.


SPORTS: RATIBA YA MICHEZO YA ROBO FAINAL UEFA. SPORTS: RATIBA YA MICHEZO YA ROBO FAINAL UEFA. Reviewed by Unknown on 15:05 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.