MKE WA AGATHAON RWASA NCHINI BURUNDI ASHAMBULIWA.
Watu waliokuwa na silaha nchini burundi wamemjeruhi mke wa kiongozi wa upinzani Agathon
Rwasa.
Mama huyo alikuwa kwenye saloon wakati watu hao walipoivamia na kuanza kufyatua risasi.
Mwandishi wa BBC mjini Bunjumbura alisema kuwa
visa vya uhalifu vimeongezeka nchini humo.
Aliongeza kwamba mashambulio mengi hasa yalionekana kuwalenga viongozi wa upinzani,hata
hivyo haijabainika waliotekeleza shambulio hilo ni akina nani nchini humo.
NEWS: MKE WA AGATHAON RWASA NCHINI BURUNDI ASHAMBULIWA
Reviewed by Unknown
on
13:49
Rating:
No comments: