Recent Posts

NEWS: WANANCHI NCHINI KENYA WAKANYAGANA KUGOMBEA KIVUKO.

WANANCHI NCHINI KENYA WAKANYAGANA
KUGOMBEA KIVUKO.

Taarifa kutoka nchini kenya zimeeleza kuwa kulitokea mkanyagano katika kivuko cha Ferry katika eneo la Likoni mombasa nchini Kenya na wengine kujeruhiwa vibaya.

Tukio hilo lilijiri baada ya Ferry tatu zinazoendesha operesheni zake katika kivuko hicho kukabiliwa na
matatizo ya kiufundi.

Sambamba na hilo kulingana na ripoti hiyo Ferry zilizosalia zimeshindwa kuhudumia idadi kubwa ya watu wanaotumia kivuko hicho pamoja na ya magari,hata hivyo hatua hiyo ilisababisha
msongamano mkubwa wa watu katika kivuko hicho.

NEWS: WANANCHI NCHINI KENYA WAKANYAGANA KUGOMBEA KIVUKO. NEWS: WANANCHI NCHINI KENYA WAKANYAGANA
KUGOMBEA KIVUKO. Reviewed by Unknown on 14:37 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.