Recent Posts

SPORT NEWS.

SONG AACHANA NA TIMU YA TAIFA.
 
>>Kiungo wa timu ya taifa ya Cameroon ametangaza kustafu soka la kimataifa ikiwa ni siku chache baada ya kutemwa katika kikosi cha timu hiyo kitakacho shiriki michuano ya AFCON.

Awali Song aliachwa na kuchaguliwa kikosini kutokana na tabia yake isiyoridhisha aliyoionyesha wakati wa fainali za kombe la Dunia nchini Brazili.

Song anachezea klabu ya West Ham ya England akitokea Barcelona kwa mkopo.
Photo: Sports_News

SONG AACHANA NA TIMU YA TAIFA

>>Kiungo wa timu ya taifa ya Cameroon ametangaza kustafu soka la kimataifa ikiwa ni siku chache baada ya kutemwa katika kikosi cha timu hiyo kitakacho shiriki michuano ya AFCON.

Awali Song aliachwa na kuchaguliwa kikosini kutokana na tabia yake isiyoridhisha aliyoionyesha wakati wa fainali za kombe la Dunia nchini Brazili.

Song anachezea klabu ya West Ham ya England akitokea Barcelona kwa mkopo.
SPORT NEWS. SPORT NEWS. Reviewed by Unknown on 05:08 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.