Mchezaji wa Algeria Riyad Mahrez wa klabu ya Leicester ya Uingereza ambao ni mabingwa wa msimu uliopita, ndiye mchezaji pekee kutoka Afrika kujumuishwa katika kundi la wachezaji wanaowania tunzo ya mchezaji bora duniani.
Riyad Mahrez wa Algeria anagombania tunzo hiyo pamoja na wachezaji kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. ambapo mshindi atatangazwa tarehe 9 mwezi Januari.
Mahrez pia amejumuisha kugombania tunzo ya mchezaji bora la Ballon D’Or pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon ambaye alisha wahi kushiriki.
RIYAD MAHREZ KUWANIA TUZO YA FIFA.
Reviewed by Unknown
on
00:56
Rating:
No comments: