WAKATI akisubiriwa kufika Nchini Brazil panapo mwakani, maashabiki wa Justin Bieber nchini Brazil wapiga kambi ya miezi mitano kumsubiri staa wao.
Mashabiki hao wazawa wa nchini Brazil wameonyesha mapenzi ya ukweli kwa staa huyo wa Pop baada ya kutangaza kuweka kambi ya miezi mitano wakisubiri ujio wa staa huyu nchini Humo.
Taarifa kutoka Nchini Brazil zinadai kuwa, mashabiki hao wameweka mahema nje ya uwanja wa Sambadrome mjini Rio de Janeiro mahali ambapo Justin Bieber atafanya show mnamo March mwaka 2017.
Jeshi la polisi ukanda Nchini humo limeeleza kuwa Mpaka sasa kuna idadi ya mashabiki zaidi ya 200 ambao wameweka kambi na kuna mahema yasiyo pungua 17 kwenye uwanja huo ambapo kwa mujibu wa Usalama ni kuwa mpaka sasa limetambulika kempu moja iliyopewa jina ‘Camp Bieber’. huku ikidaiwa kuwa Polisi wamekataza watoto chini ya miaka 18 kukaa kwenye kempu hio.
#FAHAMU Juustin Bieber atakuwa Brazil kwenye ziara yake ya #PurposeTour na tiketi moja mpaka sasa inauzwa dola $77 ambayo kwa makadilio ni sawa na 180000 (laki 1 na Elfu 80 ) za Kitanzania.

WA BRAZILI WATOA KALI YA KARNE KWA JUSTIN BIEBER.
Reviewed by Unknown
on
01:20
Rating:
No comments: