Recent Posts

AZAM YAPATA PIGO LA KUMPOTEZA MWENYEKITI WAKE.

Siku ya jana iliripotiwa Taarifa ya msiba wa Mzee Said Mohamed ambaye alikuwa meneja mkuu wa makampuni ya SSB, mwenyekiti wa Azam FC, na  makamo mwenyekiti wa bodi ya Ligi na pia alikuwa ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la soka Tanzania TFF.

Mzee Mohamed alifariki jana November 7  akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agakhan Dar es Salaam, na atakumbukwa kwa  mchango mkubwa katika soka ndani na Nje ya klabu yake ya Azam FC.

"MWENYEZI MUNGU AMPUMZISHE MAHALA PEMA PEPONI!"

AZAM YAPATA PIGO LA KUMPOTEZA MWENYEKITI WAKE. AZAM YAPATA PIGO LA KUMPOTEZA MWENYEKITI WAKE. Reviewed by Unknown on 01:26 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.