Recent Posts

ITS ALL ABOUT FASHION: HII NDIO STYLE MPYA YA NYWELE YA WAVULANA 2015

By Leisha PerfectGift.

Hizi ndizo style mpya za nywele 2015 huku hawa mastaa wawili joti na Chris Brown wakionesha muonekano mpya kichwa.
Kwa upande wa Joti bado hajaipatia jina hii style ya nywele kibongo bongo.
ila

#Fahamu Chris amefananishwa na rappa wa
kitambo wa kundi la kriss kross ‘Esque
aesthetic’ kwa style hiyo ya nywele.

 
ITS ALL ABOUT FASHION: HII NDIO STYLE MPYA YA NYWELE YA WAVULANA 2015 ITS ALL ABOUT FASHION: HII NDIO STYLE MPYA YA NYWELE YA WAVULANA 2015 Reviewed by Saidia Turuki on 06:31 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.