Recent Posts

YANGA WASHINDWA KUONGEA ZANZIBAR

>>Klabu ya Yanga Aficans wameondoka vichwa chini visiwani zanzibari baada ya kuondolewa katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya JKU ya Zanziba.

Sasa Yanga inarudi nyumbani ikiwa kimya kutokana na kukosa kutinga hatua ya Nusu fainali, wakati ndugu zao wa Azam FC nao wakirudi wakiwa hawana usemi baada ya kufungwa na Mtibwa Sugari.

JKU ambao ni vinara wa ligi kuu ya Zanzibar wamefuzu kucheza hatua ya nusu fainali ambapo watachuana na vinara wa ligi kuu Tanzania bara Mtibwa Sugar.

Hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo itatimua vumbi januari 10 mwaka huu uwanja wa Amaan Zanzibar.


N
YANGA WASHINDWA KUONGEA ZANZIBAR YANGA WASHINDWA KUONGEA ZANZIBAR Reviewed by Unknown on 22:42 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.