Recent Posts

NEWS: MSAFARA WA KIJESHI NCHINI MALI WASHAMBULIWA.

MSAFARA WA KIJESHI NCHINI MALI WASHAMBULIWA.

Baadhi ya nchi za Afrika zinakumbwa na mambo mbalimbali ya kiuhalifu hasa maswala ya mauaji ya watu mbalimbali katika kipindi cha hivi karibuni.

Ripoti kutoka nchini mali zilisema kuwa watu wasiojulikana wameshambulia msafara wa kijeshi karibu na mji mkuu wa Timbuktu.

Katika tukio hilo la kushambuliwa kwa msafara huo, wanajeshi wawili waliuawa kwenye mji ulio kaskazini mwa Douekire.

Shambulizi hilo lilijiri wakati ambapo kiwango cha mashambulizi kimeongezeka siku za hivi karibuni.

Wakati huohuo wiki iliyopita watu waliokuwa na silaha walishambulia kambi moja ya umoja wa mataifa na kuumua mlinda amani mmoja kutoka chad.


 
NEWS: MSAFARA WA KIJESHI NCHINI MALI WASHAMBULIWA. NEWS: MSAFARA WA KIJESHI NCHINI MALI WASHAMBULIWA. Reviewed by Unknown on 11:41 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.