VIONGOZI WAKUU WA KIAFRIKA WAKUTANA LEO NCHINI ETHIOPIA.
Mkutano wa wakuu wa nchi za umoja wa afrika unaanza leo nchini Ethiopia ambapo viongozi wa Afrika wanatarajiwa kujadili masuala muhimu yanayolikumba bara la Afrika kwa sasa.
Wakati huohuo kenya inatarajia kutuma ujumbe mzito kwenye mkutano huo kama mwanzo wa hatua yake ya kukata uhusiano na mahakama ya jinai "ICC"
Katika kikao cha umoja wa Afrika kilichokaa mjini Malaba Equatorial Guinea,wajumbe walisaini mkataba wa uundwaji wa mahakama ya Afrika inayoshughulikia kesi za Afrika badala ya kuzipeleka kwenye mahakama ya ICC baadhi yao walidai kuwa kesi za mahakama hiyo zinawalenga.

NEWS: VIONGOZI WAKUU WA KIAFRIKA WAKUTANA LEO NCHINI ETHIOPIA.
Reviewed by Unknown
on
07:30
Rating:
No comments: