MADRID KUMSAJIRI POGBA KWA DAU LA PAUN MIL. 100
HUKU AKIWAFUNIKA BALE NA RONALDO.
>>Klabu ya Real Madrid inataka kuweka rekodi nyingine katika usajiri baada ya kupania kumsajiri kiungo mahiri wa klabu ya Juventus ya Italy Paul Pogba.
Madrid imeandaa kitita cha paun Mil. 100 ili kumng'oa Pogba Juventus.
Endapo Pogba atasajiliwa kwa dau hilo atakuwa ameweka rekodi mpya ya kuwa mchezaji ghari zaidi duniani akiwapiku bale ambaye kwasasa ndiye mchezaji ghari baada ya kununuliwa kwa dau la paun mil 85 na Ronaldo 80.

SPORTS: MADRID KUMSAJIRI POGBA KWA DAU LA PAUN MIL. 100 HUKU AKUWAFUNIKA BALE NA RONALDO
Reviewed by Unknown
on
03:51
Rating:
No comments: