Baada ya ndege ya Air Asia iliyopotea takribani wiki mbili
zilizopita,hatimae mkia wake uliopanguka kipindi ndege hiyo ilipokuwa
inapotea umepatikana kwenye bahari ya Java.
Hata hivyo kikosi hicho kilichokuwa kinasaka ndege hiyo iliyopotea walisema kuwa, mkia huo wa ndege ulikuwa unatunza visanduku vyeusi vinavyorekodi mawasiliano ndani ya ndege, ambavyo ungeweza kuwasaidia wachunguzi kubaini chanzo cha ajali
Sehehemu hiyo ya mabaki ya ndege ilionekana kwenye eneo la ziada zilizofanyika na watafiti na kikosi cha kutafuta ndege hiyo.
Fahamu kwamba ndege hiyo iliyopotea ya Air Asia, ilikuwa ikitokea Surabaya Indonesia kwenda Singapore siku ya tarehe 28 Desemba 2014 ikiwa na abiria wapatao 162.
Hata hivyo mpaka sasa miili 40 pekee ya abiria hao waliopotea katika ndege hiyo,iliyopatikana,hata hivyo zinaamani kuwa abiria wengi zaidi wamenasa ndani ya ndege hiyo.

BAADA YA NDEGE YA AIR ASIA KUPOTEA NA ABIRIA WAKE:HATIMAE MKIA WAPATIKANA.
Reviewed by Unknown
on
10:33
Rating:
No comments: