Wanachi waliokusanyika katika eneo la Place de la Republiqe mjini Paris jana usiku ilikuwaombea ndugu zao na kuonyesha msimamo wa kuchukia vitendo vya uharifu. |
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa,
Polisi wamewataja wahusika hao kwamba ni Said Kouachi pamoja na ndugu yake wadamu kaka yake Cherif, hawa ndio walisemekana kuwa wanaweza kuwa hatari na wenye silaha kali sana na za kutisha.
Fahamu kwamba Cherif kouach ambae ni kaka mtu,alishawahi kuhusika na kupeleka wapiganaji wenye msimamo mkali wa kidini nchini Iraq.
Hata hivyo vyombo mbalimbali vya habari ufaransa vilisema, katka shambulio hilo inasemekana kuwa mtu wa tatu ambae amegunduliwa pia mshukiwa Hamyd Mourad, mwenye umri 18 alijisalimisha kwa polisi baada ya kuona jina lake katika mitandao ya kijamii.
Baadhi ya rafiki zake walisema katika mitandao hiyo kwamba alikuwa shule kipindi wakati shambulio hilo likitokea katika ofisi za jarida la vibonzo la Charlie Hebdo likitokea ambako watu 12 waliuawa.
Fahamu kwamba mpaka sasa uchunguzi mkali bado unaendelea ili kuzidi kuwasaka watu hao wenye silaha kali .
HIZI NI PICHA ZA WASHUKIWA WA SHAMBULIO LA KIGAIDI NCHINI UFARANSA.
Reviewed by Unknown
on
04:21
Rating:
No comments: