Recent Posts

SPORTS: KWELI DIEGO COSTA MWEHU ATEMBEZA KIATU NA UBABE KWA WACHEZAJI WA LIVERPOOL.


KWELI DIEGO COSTA MWEHU ATEMBEZA KIATU NA UBABE KWA WACHEZAJI WA LIVERPOOL

>>Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa alitaka kuidhihirishia dunia kuwa yeye ni mbabe baada ya kucheza rafu mara kwa mara kwa wachezaji wa Liverpool katika mchezo wa nusu fainal ya Capita One Cup.

Richa ya kucheza rafu mara kwa mara Costa alikuwa mtemi baada ya kutaka kuzicha na kila mchezaji aliyeonyeshwa kukasilika na mchezo mbaya aliokuwa akicheza Costa.

Baadhi ya wachezaji waliotaka kuzichapa na Costa baada ya kuchezewa vibaya na mchezaji huyo ni pamoja na Kapten wa Liverpool Steven Gerrard, Emir Can, Martin Skertel na Jordan hernderson.

Wakati huo huo Kocha wa Liverpool Brendan Rogers amelalamikia maamuzi ya refa akisisitiza Diego Costa angefaa kuonyeshwa kadi nyekundu kutokana na kuwakanyaga kwa makusudi Emre Can na Martin Skartel - ushahidi wa picha unaonyesha Costa kweli alitenda vitendo hivyo!

Chama cha soka England FA kimemuadhibu Costa kwa kumtoza faini kwa mchezo wake mchafu,

SPORTS: KWELI DIEGO COSTA MWEHU ATEMBEZA KIATU NA UBABE KWA WACHEZAJI WA LIVERPOOL. SPORTS: KWELI DIEGO COSTA MWEHU ATEMBEZA KIATU NA UBABE KWA WACHEZAJI WA LIVERPOOL. Reviewed by Unknown on 06:05 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.