BEKI MPYA ARSENAL ATAKA UBINGWA
>>Mchezaji mpya wa Arsenal Gabriela Paulista amesema amejiunga na klabu hiyo kwa lengo la kutwaa ubingwa wa Ligi kuu England.
Beki huyo mweye miaka 24 raia wa Brazil amesajiriwa na klabu hiyo mapema wiki hii akitokea Villarell ya Hispain kwa dau la paun mill. 15 huku Joe Campbell akijiunga na Villarell kwa mkopo.
Arsenal iko nyuma ya kinala wa ligi Chelsea kwa point 13 hivyo beki huyo amesema ataelekeza nguvu zake kuisaidia timu kufika kileleni.
Usajiri huo umekuwa wa pili baada ya Arsenal kumsajiri Krystian Bielik kutoka Legia Warsaw.

SPORTS: BEKI MPYA ARSENAL ATAKA UBINGWA
Reviewed by Unknown
on
06:30
Rating:
No comments: