Recent Posts

ULIIPATA HII YA MASTAA WA BONGO WENYE VITAMBI HASWAA HUKU TOP-TEN IKIFUNGWA NA PETER MSECHU.

Kadili siku zinavyo zidi kuendelea kunavitu vinakufa uhalisia wake kipindi cha miaka ya nyuma mtu kuwa na kitambi ilionekana Afya lakini kwa nyakati za sasa za watu kwenda na Fashion Kitambi kimekuwa kama Mtindo tu kama mitindo mingine ya watu kwenda na wakati.
Juzi nasikiliza zangu nRedio si ndo nikakutana na hii ya mastaa wakongwe bongo wenye vitambi vitambi haswa nikaona sio mbaya na wewe ukiijua list hiyo halafu ukachanganya uelewa wako na msemo wa sasa kitambi fashion.

Hii ndo list ya mastaa wenye vitambi wanaongoza Tz.

1. Captain Komba.
2.Jacob Steven 'JB'.
3. Said Fella.
4. Suka.
5.Matonya.
6.Professa Jay.
7.Kassim Mganga.
8. Babu Tale.
9. Adam Juma.
10. Peter Msechu (akiwa ndo kiboko yao huku nafasi zingine zikijazwa na watangazaji wawili kutoka Clouds Media).
11. Ray Mshana (Clouds Fm)
12. George Ngoyai (Clouds Tv)


Photo: #FASHION_NEWS.

Hii ndo list ya mastaa wenye vitambi wanaongoza tz Lakin kitambi pia ni fashion kikubwa tuu ni jinsi ya kukipendezesha na mavazi mazuri
ULIIPATA HII YA MASTAA WA BONGO WENYE VITAMBI HASWAA HUKU TOP-TEN IKIFUNGWA NA PETER MSECHU. ULIIPATA HII YA MASTAA WA BONGO WENYE VITAMBI HASWAA HUKU TOP-TEN IKIFUNGWA NA PETER MSECHU. Reviewed by Saidia Turuki on 06:49 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.