Idara ya polisi nchini Tanzania kuliko idara
zote,lakini cha kushangaza ndio idara inayoongoza kwa rushwa na ufisadi
kuliko idara zote zinazopatikana Tanzania.
Kwa ripoti iliyotolewa siku za hivi karibu,na jumuiya ya afrika mashariki zilionyesha kuwa maafisa wa polisi walipokea asilimia 25 ya hongo zilizotolewa kwa wafanyakazi wa taasi za umma mwaka uliopita wa 2014.
Katika tafiti hizo zilisema kuwa idara ya pili ni mahakama ambapo wafanyakazi wake walitia mifukoni asilimia 18 ya hongo huku mashirika yalio na majukumu ya usajili na utoaji wa leseni yakiwa katika nafasi ya tatu kwa aslimia 10.
Kwa ujumla ripoti nzima iliyotolewa ya Afrika mashariki nchi ya Tanzania ilitajwa kuwa ya tatu kwa ufisadi katika sekta mbalimbali,lakini ya kwanza kwa ufisadi na rushwa katika sekta ya polisi au idara ya polisi.
Kenya na Uganda nchi hizi zote zimeshika nafasi ya pili, huku burundi wakiwa katika nafasi ya nne.
Katika ripoti hiyo iliyotolewa ya afrika mashariki nchi pekee isiyochukua rushwa na hongo ni Rwanda tu sio ukilinganisha na nchi nyingine kwa kuchukua rushwa.

TANZANIA YAONGOZA UFISADI IDARA YA POLISI.
Reviewed by Saidia Turuki
on
01:50
Rating:
No comments: