Recent Posts

SOMALIA YAENDELEA KUWAPOTEZA WANANCHI WAKE

Somalia ni miungoni mwa Nchi za Afrika zinazokosa amani ya kudumu kila wakati,kutokana na matatizo ya kuuwana na kutokea mashambulio ya kushtukiza.

Hata hivyo siku ya jana nchini humo kumetokea mlipuko mkubwa wa bomu la kutegwa ndani ya gari karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa mogadishu nchini humo.

Msemaji wa serikali wa nchi hiyo,alisema kuwa katika mlipuko huo uliotokea nchini humo, ulisababisha vifo vya watu watano wanne wamefariki kutokana na mlipuko huo na mmoja alijitoa muhanga.

Fahamu kwamba shambulio hilo lililotokea nchini humo linasemekana kuwa lilifanywa na mtandao wa Al-shababu.

SOMALIA YAENDELEA KUWAPOTEZA WANANCHI WAKE SOMALIA YAENDELEA KUWAPOTEZA WANANCHI WAKE Reviewed by Saidia Turuki on 03:57 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.