Recent Posts

NEWS: MUGABE AWA MWENYEKITI AU.

MUGABE AWA MWENYEKITI AU.

Raisi mkongwe wa zimbabwe Robert Mugabe,ambae kwa sasa ana umri wa miaka 90, na hivi leo hii leo ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa muungano wa Afrika AU.

Katika kikao hicho wajumbe walimteuwa mugabe kwa kauli moja katika mkutano wa AU unaendelea mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

Taarifa zilisema kwamba hivi sasa mugabe amechukua nafasi hiyo ya kuwa mwenyekiti wa sasa,wakati anaeondoka katika nafasi hiyo ni Nkosazana Dlamini.

Uteuzi huo wa mugabe kuongoza muungano huo mkubwa ulio na wanachama zaidi ya 40, kwa hivi sasa umeingiza doa ndani ya AU kwani Mugabe hana uhusiano mzuri na mataifa ya magharibi hasa baada ya kukaa kwenye uongozi tangu Zimbabwe ilipopata Uhuru mnamo mwaka 1980.

NEWS: MUGABE AWA MWENYEKITI AU. NEWS: MUGABE AWA MWENYEKITI AU. Reviewed by Unknown on 08:09 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.