Recent Posts

SPORTS: WILFRED BONNY ATUA MAN CITY KWA DAU KUBWA


WILFRED BONNY ATUA MAN CITY KWA DAU KUBWA

>>Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajiri mshambuliaji wa Swansea Wilfred Bonny kwa dau la paun million 35.

Bonny ambaye huchezea timu ya taifa ya Ivory Cost amekuwa Mwafrica wa kwanza kusajiliwa kwa pesa nyingi katika ligi kuu ya England.

Mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka mine na nusu kuitumikia City na atakuwa akilipwa kiasi cha Paun million 148,000/= kwa wiki na .

Bonny amesajiliwa ili kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya City ambayo kwasasa inaonekana kuteteleka baada ya mshambuliaji tegemeo Sergio Aguero kuwa majeruhi hivyo Bonny atashirikiana na akina Dzeko na Jovetic ili kuiletea ushindi klabu hiyo.
SPORTS: WILFRED BONNY ATUA MAN CITY KWA DAU KUBWA SPORTS: WILFRED BONNY ATUA MAN CITY KWA DAU KUBWA Reviewed by Unknown on 03:45 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.