Kiongozi wa ujumbe wa ebola katika shirika la
umoja wa mataifa Tony Bunburry,alisema kuwa harakati za kukabiliana na
ugonjwa wa ebola bado hazijafikia kiwango cha kuuangamiza ugonjwa huo katika eneo la Afrika magharibi.
Kiongozi huyo alitanabaisha kuwa jamii ya kimataifa imekuwa ikikabiliana na ugonjwa huo huenda ikachukua mda mrefu kabla ya kuthibitiwa,aliyasema hayo alipokutana na vyombo mbalimbali vya habari nchini Ghana.
Hata hivyo kiongozi huyo aliendelea kusema kuwa,anaamini kwamba jamii ya kimataifa itafanikiwa kuuthibiti kuangamizi mlipuko huo wa ugonjwa hatari kwa mwaka huu wa 2015.
Kwa mwaka 2014 virusi vya ugonjwa huo vimeuwa takribani watu 8000 hasa katika nchi ya Sierra Leone,Liberia na Guinea.

UMOJA WA MATAIFA WAUMIZA KICHWA KUINGAMIZA EBOLA.
Reviewed by Saidia Turuki
on
01:49
Rating:
No comments: