>>Klabu ya Liverpool imeanza halakati za usajiri baada ya kikosi
chake kutokuwa imara hasa safu ya ushambuliaji na sasa imetupa ndoano
yake kwa mshambuli wa Napol Gonzalo Higuan.
Liverpool iko tayari kutoa kitita cha Paun mill. 38 ili kumsajiri mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Argentina.
Liverpool iko tayari kutoa kitita cha Paun mill. 38 ili kumsajiri mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Argentina.
LIVERPOOL YAANZA MBWEMBWE ZA USAJIRI HIGUAN SASA NDANI
Reviewed by Unknown
on
22:46
Rating:
No comments: