UREMBO SHIDA: NICK MINAJ AJIKAMUA KWA KIASI CHA PESA AMBACHO NI SAWA NA MILLIONI 18.4 ZA KIBONGO ILI KUIKARABATI SURA YAKE.
Wakati wengine wakijaribu kutafuta Shilingi Elfu kazaa kwa ajili ya kujipeleka saluni huku wengine kama akina Nick Minaj waliozipata na kuzidi hutumia kujipeleka sio saluni tu hata kwenye clinic zinazotoa huduma kama 'Face Surgery' ili kukarabati au kuzibadilisha sura zao kuwa katika muonekano mwingine kabisaaa!!
Haya mwanadada nick minaj kagharamia sura yake kuibadilisha kwa takribani million 18.4 za kibongo.
Haya mwanadada nick minaj kagharamia sura yake kuibadilisha kwa takribani million 18.4 za kibongo.
UREMBO SHIDA: NICK MINAJ AJIKAMUA KWA KIASI CHA PESA AMBACHO NI SAWA NA MILLIONI 18.4 ZA KIBONGO ILI KUIKARABATI SURA YAKE.
Reviewed by Saidia Turuki
on
05:20
Rating:
No comments: