Kweli liwezekanalo leo lisingoje kesho, kwamba jasusi mmoja kutoka
nchini Cuba alieachiwa na marekani hivi karibuni sasa amekuwa baba,
baada ya ombi lake muda mrefu kutaka mbegu zake za kiume zipandikizwe kwa mkewe wakati alipokuwa jela ili apate mtoto.
Hata hivyo mbegu za jasusi huyo Gerard Hernandez alikuwa akitumikia kifungo nchini marekani, kwa makosa ya kufanya vitendo vya kijasusi,hata hivyo baada ya hapo aliachiwa mwaka jana kwa uhusiano wa kidemokrasia kati ya Marekani na Cuba.
Fahamu kwamba Cuba Marekani zilitangaza kuwa mwezi desemba nchi hizo zimerejesha uhusiano wa kidiplomasia kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1961
Mke wa jasusi huyo, Adriana Perez amefanikiwa kujifungua siku ya jana mtoto wa kike na kuongeza furaha kwa Hernandez ambaye hawakukutana kimwili katika suala zima la kumtafuta mtoto huyo.

ALIYEPANDIKIZA MBEGU ZA KIUME KWA MKEWE, HATIMAYE AJIFUNGUA.
Reviewed by Unknown
on
04:51
Rating:
No comments: