WAZIRI MKUU WA UINGEREZA DAVID CAMERON AMEIPINGA KAULI YA PAPA FRANCIS.
Waziri mkuu wa uingereza David Cameron hivi karibu aliyapinga matamshi ya papa Francis aliyosema wili iliyopita, kwamba siyo sawa kufanya mzaha juu ya imani za watu wengine, kwa sababu wanaweza kuleta mvurugano na amani kutoweka.
Papa aliyasema hayo baada ya kuona mashambulio yaliyofanywa na wapiganaji wa kiislamu ambayo pia bado yakiendelea kufanywa na wapiganaji hao dhidi ya gazeti la Charlie Hebdo ambalo lilichapisha kibonzo cha mtume Muhammad,na kusema kuwa mtu akimtusi mama yake aliyemzaa kinachofuata ni kupigwa.
Sambamba na hayo waziri mkuu alimpinga tena papa na kusema kuwa katika nchi nyingine huru kuna haki ya kumkera mtu mwengine kuhusu suala la kidini.
Alimalizia na kusema kwamba aliliambia shirika la habari la CBS la marekani kuwa vyombo vya habari vinafaa kuweza kuchapisha vitu ambavyo vinawakera baadhi ya watu.

NEWS: WAZIRI MKUU WA UINGEREZA DAVID CAMERON AMEIPINGA KAULI YA PAPA FRANCIS.
Reviewed by Unknown
on
08:44
Rating:
No comments: