Recent Posts

HATIMAE MUASI MASHUHULI ALIYEKUWA ANATAFUTWA NCHINI UGANDA AJISALIMISHA MWENYEWE.

Katika hali ya kushangaza na kushtukiza nchini Uganda, muasi Dominic Ongweni aliyekuwa kiongozi mkubwa la kundi la waasi kutoka Uganda amejisalimisha mwenyewe pasipo shuruti.

Ongweni ni mmoja kati ya makamanda waliokuwa na cheo kikubwa katika jeshi la waasi wa Uganda #Lord_Resistance_Army (LRA),ambae pia alikuwa mtu wa karibu sana na Joseph Kony.

Hata hivyo inataarifiwa kuwakikosi cha jeshi la marekani kilichoko Afrika ya kati kwa mujibu wa msemaji wa kikosi marekani nchini humo, amesema kuwa kiongozi huyo aliyejisalimisha,alitekwa nyara na LRA alipokuwa na umri wa miaka 10 na alikuwa akipenda vyeo katika jeshi hilo la waasi na alikuwa akisakwa na mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makosa kadhaa yakiwemo ya mauaji, uporaji na utumikishaji.

HATIMAE MUASI MASHUHULI ALIYEKUWA ANATAFUTWA NCHINI UGANDA AJISALIMISHA MWENYEWE. HATIMAE MUASI MASHUHULI ALIYEKUWA ANATAFUTWA NCHINI UGANDA AJISALIMISHA MWENYEWE. Reviewed by Saidia Turuki on 03:30 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.