Recent Posts

SPORTS: BALOTELL KUJARIBU BAHATI YAKE JUVENTUS

>>Baada ya kushindwa kuonyesha makali yake katika klabu ya Liverpool iliyomsajiri miezi sita iliyopita Super Mario Balotell huenda akajaribu bahati yake katika klabu ya Juventus ya Italy inayowania saini yake.
Mabingwa hao wa Seria A wanahitaji kumrudisha Balotell katika ardhi ya nyumbani na wanaamini atakuwa msaada kwao licha ya kuonekana si lolote Uingereza.

Balotell alisajiliwa na Liverpool akitokea AC Milan na ndiye alitegemewa kuziba pengo la Luis Suarez aliyeondoka klabuni hapo na kuhamia Barcelona lakini alishindwa kuzipa pengo hilo ambalo limekuwa likiisumbua Liverpool kila kukicha.

Liverpool wameamua kumweka sokoni Balotell na kutaka kuwasajiri Mshambuliaji wa Napol Gonzalo Higuan na Saido Barahino wa West Bromwich Arbion.

SPORTS: BALOTELL KUJARIBU BAHATI YAKE JUVENTUS SPORTS: BALOTELL KUJARIBU BAHATI YAKE JUVENTUS Reviewed by Unknown on 22:13 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.