Recent Posts

ARSENAL MOJA KWA MOJA KWA MANDZUKIC

>>Kocha wa Arsenal Asene Wenger anamatumaini ya kumsajiri mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid baada ya kutenga dau nono la Paun €32 million.

Wenger alihusishwa na uhamisho wa Mario Mandzukic kipindi yuko Bayer Munich ila hakufanikiwa kumsajiri na sasa anaonekana kukania kupata saini ya Mcratia huyo.

 
ARSENAL MOJA KWA MOJA KWA MANDZUKIC ARSENAL MOJA KWA MOJA KWA MANDZUKIC Reviewed by Unknown on 22:43 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.