Recent Posts

NIGERIA YATEKWA TENA

Waziri wa ulinzi wa Nigeria siku ya leo amethibitisha kutokea kwa tukio la kutekwa kwa kambi yake moja ya kijeshi mpakani mwa Nigeria na Chad na kutawaliwa na wapiganaji wa kislaam

Hata hivyo mkuu wa jeshi la angani Alex Badeh,alisema kuwa wanajeshi wa Nigeria ndio waliokuwa katika kambi hiyo ya kijeshi,inayotumika na wanajeshi wa mataifa mbalimbali.

Inafahamika kuwa kambi hiyo iliyovamiwa ipo kando ya ziwa la Chad ilishambuliwa siku ya jumamosi na wapiganaji wa kundi la boko haramu.

NIGERIA YATEKWA TENA NIGERIA YATEKWA TENA Reviewed by Saidia Turuki on 03:48 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.