Recent Posts

UMOJA WA KIMATAIFA NA DRC WASHIKAMANA KUWAONDOA FDLR






Umoja wa mataifa hivi karibuni ulisema kuwa,Raisi Joseph ameahidi na kusema kuwa jeshi lake litaungana katika operesheni dhidi ya waasi wa FDLR.

Fahamu kuwa kikosi cha wanajeshi elfu 20, wa umoja wa Mataifa watashirikiana na wale wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo katika kambi yao ya kufanya mashambulizi dhidi ya serikali ya nchi jirani ya Rwanda.

Hata hivyo


waasi hao wameshindwa kufikia muda wa mwisho wa kimataifa uliowekwa wiki hii wa kuweka silaha chini na kuondoka katika eneo hilo.
UMOJA WA KIMATAIFA NA DRC WASHIKAMANA KUWAONDOA FDLR UMOJA WA KIMATAIFA NA DRC WASHIKAMANA KUWAONDOA FDLR Reviewed by Unknown on 03:33 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.