RONALDO AFUNGIWA MECHI 2 KWA KUPIGANA MATEKE
>>Cristiano Ronaldo amefungiwa mechi 2 kutokana na kosa lake la
Kumpiga teke mchezaji wa Cordoba Edimar katika mchezo ambao Madrid walishinda 2-1.
Ronaldo atakosa mchezo wa Sevila na ule wa Real Sociedad.
SPORTS: RONALDO AFUNGIWA MECHI 2 KWA KUPIGANA MATEKE
Reviewed by
Unknown
on
06:02
Rating:
5
No comments: