>> Zikiwa zimebaki siku chache kutanganzwa kwa mchezaji bora wa
FIFA inayowaniwa na Mastaa watatu akiwemo Christian Ronaldo, Manuel Neur
na Lion Messi, mchakato wa kutoa tuzo hiyo umeingia katika wakati mgumu.
Ugumu wa Tuzo hiyo ni kutokana na wachezaji wanaowania tuzo hiyo kwani haitambuliki ni nani ataibuka kidedea kutokana na upinzani uliopo hivi sasa.
Mashabiki wa soka duniani kote wamesubiri kuona ninani ataibuka na tuzo hiyo kati ya wababe hao watatu hivyo kuwa na hamu kubwa ya kusikia nani zaidi kati ya Ronaldo, Neur au Messi.

TUZO YA MCHEZAJI BORA WA FIFA "BALLON D'or" SASA KIZUNGU MKUTI.
Reviewed by Unknown
on
22:47
Rating:
No comments: