WATU 18 WAMEUAWA NCHINI MISRI KUTOKANA NA MAANDAMANO.
Serikali nchini misri imeripoti kuwa watu zaidi ya 18 akiwemo polisi mmoja wameuawa katika maandamano yaliyotokea nchini humo wakati wa wakiadhimisha miaka 4 tangu kuangushwa utawala wa Hosni Mubarak.
Katika tukio hilo kulionekana vitu mbalimbali vikiwemo vifaa vilivyotekea mjini Alexandria na Cairo serikali ilipiga marufuku kuadhimisha kumbukumbu hizo hali iliyosababisha vurugu kati ya kati waandamanaji na polisi.
Zaidi ya watu 400 pia wanashikiliwa kutokana na vurugu hizo,hata hivyo serikali ilipiga marufuku tukio hilo linalodaiwa kuwa la kumbukumbu ya maandamano 2011.
Maandamano hayo ya mwaka 2011 nchini misri yalikuwa yakiratibiwa na makundi ya waislam wenye msimamo mkali ambapo vikosi vya usalama vilishindwa kuwadhibiti waandamanaji hao.

NEWS: WATU 18 WAMEUAWA NCHINI MISRI KUTOKANA NA MAANDAMANO.
Reviewed by Unknown
on
11:13
Rating:
No comments: