Takribani watu wapatao 11 wameuawa na wengine 5 wamejeruhiwa vibaya katika shambulio lililotokea leo nchini ufaransa.
Shambulio hilo lililotokea nchini humo, lililoteketezwa na watu wasiojulikana katika Ofisi ya gazeti la Charle Hebdo Jijini Paris nchini Ufaransa.
Fahamu kwamba katika shambulio hilo watu wenye silaha na wasiojulikana waliingia kwenye jengo na kuanza kufyatua risasi wakiwa na silaha ambapo inaelezwa kuwa takribani milio hamsini ya risasi ilisikika baada ya hapo watu hao walikimbia kusikojulikana na gari lao.
Hata hivyo polisi wa nchi hiyo wanafanya uchunguzi wa kina ili kuwapata waliohusika na shambulio hilo,katika mji wa paris umeweka tahadhari kubwa ya kiusalama.

WATU 11 WAMEPOTEZA MAISHA NA 5 KUJERUHIWA VIBAYA KATIKA SHAMBULIO UFARANSA
Reviewed by Unknown
on
09:11
Rating:
No comments: