NANI ATATINGA FAINAL KATI YA CHELSEA NA LIVERPOOL LEO CAPITAL ONE CUP?
>>Mchezo wa nusu fainali hatua ya pili ya kuwania kombe la Capital One nchini England kati ya Chelsea na Liverpool utapigwa hii leo katika uwanja wa Stamford Bridge.
Mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 4:45 kwa saa za Afrika Mashariki unatarajiwa kuwa mgumu kwa timu zote kutokana na wote kuhitaji kutinga hatua ya Fainal.
Katika mchezo wa kwanza uliopigwa wiki iliyopita timu hizo zilitoka saer ya bao 1-1.

SPORTS: NANI ATATINGA FAINAL KATI YA CHELSEA NA LIVERPOOL LEO CAPITAL ONE CUP?
Reviewed by Unknown
on
11:47
Rating:
No comments: