Recent Posts

NEWS: MABOMU YAMEZIDI KUUWA NCHINI NIGERIA.

MABOMU YAMEZIDI KUUWA NCHINI NIGERIA.

Nigeria ni nchi hivi karibuni inaandamwa sana na matatizo mbalimbali, ripoti zilizotolewa kutoka nchini zilisema kuwa mlipuaji wa kujitolea muhanga amewaua watu 4 na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kituo cha basi mjini Potiskum, Mji ambao umekuwa ukishambuliwa na wapiganaji wa boko haram mara kadhaa.

Taarifa zinasema kuwa jumapili iliyopita walipuaji wawili wa kujitolea muhanga walijilipua na kuwauwa watu 4 katika soko moja lililojaa watu, sambamba na hayo wachambuzi mbalimbali wamekadiria kwamba watu elfu13 wamefariki tangu kundi la boko haram lianzishe harakati zake mnamo mwaka 2009.
NEWS: MABOMU YAMEZIDI KUUWA NCHINI NIGERIA. NEWS: MABOMU YAMEZIDI KUUWA NCHINI NIGERIA. Reviewed by Unknown on 08:58 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.