Baada ya siku kadhaa kupita kwa tukio mauaji nchini Ufaransa, hatimae polisi wamewakamata wahusika wa tukio hilo na kuwaua.
Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kwamba washukiwa wawili waliohusika na mauaji katika eneo la Charlie Hebdo wameuawa.
Fahamu kwamba wahusika hao walisakwa kwa siku mbili na polisi baada ya kufanya tukio na kutoroka nchini humo katika mji wa paris.
Taarifa zaidi zinasema kuwa maafisa wa usalama walivamia eneo ambako vijana hao walikuwa wamejificha wakiwa na mateka mmoja na kuwauwa vijana hao ambao walikuwa ndugu.
Katika mtafaruku huo wa kuwatafuta na kuwakamata wahusika wa mauaji,milio ya risasi ilisikika huku moshi mkubwa ukionekana kufuka kutoka katika jengo hilo,huku makomandoo wakiwa wamewakamata wahusika hao kabla ya kuwaua.
Hata hivyo walisema kuwa waliwaua waandishi wa habari kama kulipiza kisasi cha wahariri wa jalida hilo kuchora vibonzo vya kumkejeli mtume muhammad wa dini ya kislaam
Taarifa zilisema kwamba hapo awali waliteka kituo cha mafuta wakiwa mbioni huku wakiwateka mateka na kwenda nao katika kiwanda ambako walikuwa wamejificha
Fahamu zaidi kuwa baada ya operesheni ya polisi kukamilika baadhi ya mateka waliokuwa wamezuiliwa ndani ya sehemu hiyo walionekana wakitoka nje.

NCHINI UFARANSA: WASHUKIWA WA MAUAJI KATIKA SHAMBULIO LA KIGAIDI WAUAWA.
Reviewed by Unknown
on
22:56
Rating:
No comments: