MSAFARA WA WAZIRI WAKWAMA KWENYE MATOPE AKIWA KWENYE ZIARA
>>Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mh. Titus Kamani ambaye yuko katika Ziara mkoani Kigoma ili kukagua sekta ya mifugo na uvuvi mkoani humo amekumbwa na wakati mgumu katika moja ya safari zake.
Msafara wa Waziri ulipokuwa unaelekea katika Ranchi ya Uvinza wilani Uvinza ambako barabara yake ni mbovu hasa kipindi hiki cha mvua kwani barabara ilikuwa ina mashimo yenye maji sambamba na tope.
Wakiwa kwenye mashimo ya maji gari moja lilikwama na kushindwa kutoka na kuachwa katika msafara ambapo lilipotoka na kutaka kufuata msafara taili lilipata pacha nasafari kuishia hapo.
Msafafara ulipofika maeneo yenye matope gari zilishindwa kupita likiwemo gari la Mh. Waziri (pichani rangi ya Blue) ila baada ya kuhangaika likafanikiwa kupita na gari zingine zikapita kwa tabu na kuendelea na msafara.

NEWS: MSAFARA WA WAZIRI WAKWAMA KWENYE MATOPE AKIWA KWENYE ZIARA
Reviewed by Unknown
on
03:42
Rating:
No comments: