RONALDO AMPIGA CHINI MPENZI WAKE KISA HAKUWEPO WAKATI WA UTOAJI WA TUZO.
>>Mwanasoka bora mara mbili wa Dubia Mreno Christian Ronaldo ameachana na mpenzi wake Irina Shayk kwa kile kilichodaiwa kuwa mrembo huyo hakuwepo katika sherehe za utoaji wa tuzo za mwanasoka bora.
Katika sherehe hizo Ronaldo alikuwa peke yake licha ya wachezaji wengine kama Messi walikuwa na wapenzi wao, Ronaldo alikuwa na mtoto wake Cristiano Ronaldo junior ambapo mchezaji huyo alikuwa akitegemea kampani ya mtoto wake.
Hata hivyo mpaka sasa tayari Irina amemu unfollows mchezaji huyo kwenye Twitter.
#Source_bbc_Sports.

SPORTS: RONALDO AMPIGA CHINI MPENZI WAKE KISA HAKUWEPO WAKATI WA UTOAJI WA TUZO
Reviewed by Unknown
on
03:49
Rating:
No comments: