Recent Posts

2015 IMEINGIA: VITA YA NANI ATAINGIA IKULU YAZIDI KUSHIKA NA KUPAMBA MOTO ZAIDI.

Ule msemo wa "hayawi hayawi sasa yamekuwa" hatimaye umetimia kufuatia tayari mwaka 2015 tumeufikia na kuanza huku vita kubwa na macho ya Watanzania wengi yakianzs kuangalia nani ataingia Ikulu,katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu.

Fahamu kuwa hii ni kufuatia baadhi ya wafuasi wa vyama mbali mbali wameshaanza kuwaweka wagombea wao mkao wa kura,katika kuelekea safari ya uchaguzi mkuu wa viongozi mbalimbali wakiwemo wabunge na Urais, oktoba mwaka huu ambapo tayari mpaka sasa yameibuka makundi mengi na sababu zao.

Lakini pia katika hayo makundi kila moja limekaa tayari kuwaunga mkono baadhi ya wanasiasa waliotangaza au wanaotajwa kuwania kugombea uraisi na kuwashinda wapinzani wao.

Hata hvyo inasemekana kuwa baadhi ya watu waliotajwa kugombea uraisi kwa mwa huu wa 2015, ni aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania mh Edward Lowasa,mh Wilbroad Slaa, mh Mizengo Kayanza Peter Pinda na proffesa Ibrahim Lipumba,kila mmoja akiwa anajinadi ki vyake vyake.

Photo: #NEWS

2015 IMEINGIA:
VITA YA NANI ATAINGIA IKULU YAZIDI KUSHIKA NA KUPAMBA MOTO ZAIDI.

2015 IMEINGIA: VITA YA NANI ATAINGIA IKULU YAZIDI KUSHIKA NA KUPAMBA MOTO ZAIDI. 2015 IMEINGIA: VITA YA NANI ATAINGIA IKULU YAZIDI KUSHIKA NA KUPAMBA MOTO ZAIDI. Reviewed by Saidia Turuki on 01:52 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.